Style gani sahihi ya kuandika cover letter?!

Style gani sahihi ya kuandika cover letter?!

ndugu yako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
193
Reaction score
97
Eti wakuu ipi inafaa sana kati ya kuandika cover letter kwa mkono au kuitype?!
 
Inategemea, sababu muajiri ndiye atakayeamua ni writing style gani unayotakiwa kuandika hyo Cover Letter yako!
 
Pia itategemea njia gani unatumia kupeleka maombi yako, Posta au Email?

Serikalini mara zote wanataka uandike kwa mkono, kwasababu unatumia posta tu.

Izi office nyingine ukiona wanataka barua ya mkono, ujue hand writting inahisika kwenye hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom