OZILY
Senior Member
- Dec 29, 2013
- 159
- 39
Habar wana JF,
Kwa yoyte mwenye kibarua or anaejua sehem kwenye kibarua anisaidie tafadhali, nina elimu ya kidato cha 4 ila nilifeli nikapata 4. Nawaomba wapenda hasa mlioko Dar msaada wenu nauhitaji sana pakukaa ninapo.
Ilia ndo hivyo nina uwezo wa kuendelea na masomo nimekuwa nikifanya vibarua vya mitaani lakini kwasasa hamna vibarua nimezunguka sehemu mbalmbali (viwandani nk) kote wanataka pesa la sivyo niwe na mtu na mimi sina wa kunipiga jeki.
Nisaidieni wapendwa maana nina mpango wa kujiendeleza kimasomo badae mambo yaki kaa sawa.
Nawashukuru sana Mungu awabariki woote....0657223663 or 0754216701.
Niko Dar TMK.