Mwenyekujua Kuhusu TICTS

Mwenyekujua Kuhusu TICTS

bnyanya

Senior Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
178
Reaction score
65
Hawa jamaa wapoje kimaslahi wadau? Kwa sababu nina kazi inanilipa laki 800000 kwa mwezi baada ya makato yao. Nahofia kuiacha na kwenda kwa TICTS.

Mwenye kuwajua afunguke.

Finance department
 
Mkuu lakin unatakaje kuacha kazi bila kujua uendako kuna nini?

Mi nnachojua ni kwamba, for a labourer to make a movement, lazima kuwa na better green pasture forward.

Fanya utafiti kwanza kwa wafanyakazi ndo uendepo!

Create some friendship atmosphere with employees ili upate data!
 
hii ni kampun ya kupakua mizigo ya nazir karamagi pale bandalin, kuhusu malipo hawa jama mshahara ni mdogo. kwa sasa mazingira ya bandar hailipi kwan mwakiembe kanyea kambi kwa sasa hakuna dili zozote pale. baki hapo hapo ulipo
 
kwa wambie unachotaka wakibisha watajie unachopata.. wakiweza kupata mpaka unapopataka unachukua kazi...NEGOTIATE kama wanakuhitaji watakupa unachotaka.. ukijishusha watakusha tu...
 
Unapofanyiwa usahili wa kazi kama uko kwenye ajira huwa wanakuuliza kwanin unatoka ulipo na kufuata kazi hiyo mpya. Pia wanakuuliza unategemea salary ya shilingi ngap? Hapo ndio utawaambia kiasi unachochukua saiv na kuwaambia unategemea kiasi gan kwa kazi hiyo mpya.

So hapo TICTS ndio unataka ku apply au ushafanyiwa interview?
 
Ticts Finance Controller analipwa dola 2000 after VAT pamoja na transport allowance, medical cover, afternoon meal.
 
Dah aisee hiyo offer tunai-revoke aisee manake hustahili kabisa hii nafasi tena.Kufanya kazi finance unatakiwa uwe mjuvi na mwenye kutunza siri but kwa hili la kuja kuulizia mambo haya JF ngoja niongee na HOD tuku-disqualify.

HR - TICTS
 
vipi kuhusu executive trainee positions, deadline ilikuwa tar 18 feb
 
Dah aisee hiyo offer tunai-revoke aisee manake hustahili kabisa hii nafasi tena.Kufanya kazi finance unatakiwa uwe mjuvi na mwenye kutunza siri but kwa hili la kuja kuulizia mambo haya JF ngoja niongee na HOD tuku-disqualify.

HR - TICTS

Acha kumtisha mwenzio mkuu?? Ye kauliza kuh yake kosa lake liko wapi?? Na unajuaje km atatoa siri za ofisi km sio ww ndo mpeleka habari...ha ha ha nawasiwasi bado unatafuta kazi na ww....
 
Back
Top Bottom