Ajira za Kilimo Utata sana

Ajira za Kilimo Utata sana

Joined
Apr 6, 2013
Posts
74
Reaction score
14
Utumishi walitangaza kazi nov, 2013 kwa maafisa & wahandisi kilimo. Pia wamerudia tangazo feb, 2014 na kukataza kuomba tena.
 
Apo kuna issue ya kuzuga muda uendelee kusonga mbele c bora wangetolea ufafanuzi wa tangazo lilopita tujue
 
Wanadai kua kama uliomba usiombe tena maana mombi ya Nyuma bado yanachambuliwa,Swala la kujiuliza sasa kama bado wanafanya Uchambuzi kwa nini wahitaji watu wengine tena kuomba?Akili za kuambiwa changanya na Zako.
 
Back
Top Bottom