Naombeni kama kuna shule ya kufundisha, naomba unitafute nipo tayari kwa masomo ya History na Civics.
Ndg huenda hauna shida ya ajira, yani una njaa unahitaji uletewe chakula.Kama upo Dsm wacheki hao jamaa wa Teachers junction watakutafutia shule, wacheki humu jf wanatumia jina hilohilo no yao ya simu 0753810857.