mbalila
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 825
- 161
Habari za leo wana JF inaskitisha wizara kama hii kutoa taarifa za uongo, ukizingatia taarifa yenyewe ni ya ajira mpya. Mnatuwekea majina ya watu walio kwisha ajiriwa mwaka jana na kuita eti ni (www.moh.go.tz) Nafasi za Ajira kwa Kada ya Afya 2014.
Inaskitisha, inahuzunisha inaumiza sana ukizingatia zahanati zimejengwa huko vijiini lakini hazina wahudum wa afya, tuwajibike kabla ya kuwajibishwa.
Naomba kuwasilisha
Inaskitisha, inahuzunisha inaumiza sana ukizingatia zahanati zimejengwa huko vijiini lakini hazina wahudum wa afya, tuwajibike kabla ya kuwajibishwa.
Naomba kuwasilisha