B Bible Senior Member Joined Sep 13, 2013 Posts 136 Reaction score 8 Feb 23, 2014 #1 Nani anajua tarehe ya kuripoti kambini kwa waliopata nafasi JKT
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,629 Reaction score 5,262 Feb 23, 2014 #2 MKATABA NI kuanzia tarehe 17 mwez wa tatu
O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,501 Feb 25, 2014 #3 hayo mafunzo ni kwa muda gani? na graduate nao wamechaguliwa?