Akiba bank

Akiba bank

Punda wa Dobi

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
591
Reaction score
239
Mwenye tangazo la kazi la akiba commercial bank walilotoa kwenye The Guardian la ijumaa tafadhali aliweke hapa
 
mkuu naomba nikwambie ukwel, hilo tangazo uliloliona ijumaa, mimi nimemeambia chini chini tangu tarehe 16/02/2013 na mimi niliambiwa sema sikuwa na vigezo,pia nimeshindwa kupost hapa jf kwa sababu hiyo ilikuwa ni secret na sio oficial, basi nikaamua kuuza mechi. ijumaa ndio wametoa kwenye gazeti duuuu,hii inamaana kuwa zimeshajaa, ila wanatimiza wajibu. pia nawashauri tumeni kwani nisije kuwakatisha tamaa bure. asanteni
 
haya sasa siri ishafichuka, fanya msaada wa kuliweka hilo tangazo hapa mkuu
 
Back
Top Bottom