Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Wakuu habari . Mimi ni kijana wa kiume Umri miaka 24 Kwa sasa naishi Tanga (Lushoto) Nipo hapa kuomba nafasi ya Kazi au ajira katika maeneo yafuatayo. Elimu yangu ni shahada ya elimu...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Job type: Full-time Direct Sales Staff ( Fixed Term – 3 Years ) (300 Position(s)) Job Purpose: Support in driving retail sales objectives of the bank through day-to-day customer visits and...
5 Reactions
154 Replies
23K Views
Kama unao uzoefu wa kazi za sales kwa miaka mitatu, Diploma/ degree marketing nichek cv yako hybridprojectmanagement@gmail.com
1 Reactions
4 Replies
439 Views
Jaman NAOMBA mnisaidie kijana mwezenu nipate hata ugali na pakuishi nataka kumkimbia huyu mwanamke naombeni kazi wanaume wezangu na wanawake wenyew roho nzuri. Elimu yangu ni digrii ya ualimu...
1 Reactions
4 Replies
436 Views
We don’t just rent out beautiful cars, but we also offer powerful off-road vehicles. Welcome to Rhond's Company Limited for excellent car rental services. Call us or send a WhatsApp message to...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Kwa anaye fahamu hili naomba anielewesha tafadhali. Hivi kwa mtu mwenye level ya elimu ya post graduate diploma au masters mishara yao ni sawa au tofauti? Kwa anaye fahamu kwa kina zaidi naomba...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu. Nahitaji mtu wa saloon ya kike, awe wa kike au wa kiume, kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
WAOMBAJI - 135,027 Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027 NAFASI - 1,596 20 % kwa Wazanzibar - 319 80 % kwa Bara - 1,277 CHANCE YA KUPATA KAZI Wazanzibari - 10 kwa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habarini Wakuu. Nipo mbele yenu ninaomba kuunganishwa na kazi ili mradi nipate kipato changu halali. Nitaeleza kilichonikuta kwa ufupi. Mimi ni mhitimu wa Shahada ya Usimamizi Wanyamapori (bado...
15 Reactions
112 Replies
4K Views
EGA Wameshafanya yao
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Urgent anahitajika Mwalimu WA masomo ya Geography na History ngazi ya Shahada. Shule IPO Mbeya Mjini. Mwalimu awe mahiri na mwenye uwezo wa kufundisha na kutoa Matokeo mazuri. Mshahara ngazi ya...
0 Reactions
1 Replies
458 Views
St. Augustine University of Tanzania The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning institution owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of...
0 Reactions
2 Replies
542 Views
Mazoezi ndo chakula changu nina piga push ups 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo. Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my...
5 Reactions
75 Replies
3K Views
Habari wakuu, mimi ni kijana wa kiume (26), mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma, Shahada ya kwanza ya sayansi katika kemia (mkemia), ninaomba kazi Yoyote ile iwe ya taaluma yangu au ya kutumia nguvu...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Salaam Wakuu. Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa. Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata...
1 Reactions
84 Replies
23K Views
Habari za siku wakuu, Naomba aliewahi kufanya online interview za utumishi anipe mwongozo namna ambavyo inakuwa kwenye upande wa format, je maswali ni ya kuchagua? Na yanakuwa mangapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza natanguliza shukurani za dhati kwa hili JUKWAA la tenda na ajira na members na dhumuni langu kuhusu huu uzi nikutoa shukurani Nilijiunga na jukwaa hili mwaka 2021 baada ya kuona baadhi ya...
24 Reactions
73 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…