Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 905
- 1,410
Wataalamu
Ngoja waje, niwasikilizeUnaombea Kazi!!
Waajiri Wanakuja Kusema Kama Hawakitaki
Daaa, safi sana.. Kwahyo uliomba kama degree holder au diploma holder?Nilichukua Provisional Results NTA level 7 (higher diploma) nikaombea kazi na nikapata na mshahara ulikuwa equivalent to bachelor
Kwahyo haina haja ya kumalizia NTA level 8, degreeSimply higher diploma ni Eq. Advance diploma na Eq. na Bachelor degree.
ila ukipwewa cheti cha High Diploma huruhusiwi kuendelee degree. hapo jiandae tuu postigraduate diploma
Kwahyo haina haja ya kumalizia NTA level 8, degree
Nataka kujua , naweza kuombea kazi na chet cha higher diploma? yani kinakubalika?kumbuka hutasoma masters bila kupita postigraduate
Nataka kujua , naweza kuombea kazi na chet cha higher diploma? yani kinakubalika?
Wapi kinakubalika?Yes kaka kinakubalika kabisa
Wapi kinakubalika?
Unaweza kuonyesha baadhi ya taasisi zinazoikubali hiyo higher diploma?
Lengo nipate kazi kwanza, ili nijichange ada, nikamalizieKamalizie huo mwaka mmoja
Unataka kusema, hakifai kuombea kazi?Wapi kinakubalika?
Unaweza kuonyesha baadhi ya taasisi zinazoikubali hiyo higher diploma?
Mimi sijui ndio kwanza nimeisikia kwako,ndio nikamuuliza huyo jamaa wapi mtu anaweza kuajiriwa kwa higher diploma?Unataka kusema, hakifai kuombea kazi?