mwana mpendwa
Senior Member
- Oct 6, 2012
- 171
- 21
Wakuu heshima kwenu.
Naomba kujuzwa MTU anapoanza Nazi katika ile miezi mitatu ya probation, Je anapaswa kukatwa nini? Kodi, NSSF au hakatwi kabisa?