Kiwango cha Mshahara kwa Mwenye Diploma ya Horticulture{kilimo}

Kiwango cha Mshahara kwa Mwenye Diploma ya Horticulture{kilimo}

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,929
Nimeangalia kwenye waraka wa mishahara kilimo hakuna wameweka researchers tu, naomba kujuzwa kwa anaefahamu salary ya horticulturist mwenye diploma.

Tafadhalini.
 
haizidi 450,000 tsh gross, kabla ya makato, inaweza kutofautiana kama utapata private company, ila kwa serikali (halmashauri) maximum ni hiyo 450,000tsh
 
Sorry nilifikiri cold culture napta
 
haizidi 450,000 tsh gross, kabla ya makato, inaweza kutofautiana kama utapata private company, ila kwa serikali (halmashauri) maximum ni hiyo 450,000tsh

aise,hii sector inasifiwa mno kumbe ya kawaida?hivi ndugu manufaa ya private au serikalini ni yapi?napenda ng'amua mapema wapi ni best ingawa mimi napenda zaidi serikalini panapo majaaliwa
 
aise,hii sector inasifiwa mno kumbe ya kawaida?hivi ndugu manufaa ya private au serikalini ni yapi?napenda ng'amua mapema wapi ni best ingawa mimi napenda zaidi serikalini panapo majaaliwa[/QUO

Hii sector labda ubahatishe research instituition kama ukirugulu, ilonga etc, lakini halmashauri huko ni shida, serikalini kweli ni kuzuri hakuna stress za bosi sana na ajira ni uhakika labda hadi kifo, but pesa yake ni ya manati... private stress kibao na security kidogo.,. but mpunga wake ni mara mbili zaidi ya huo wa serikalini na hasa ukawa na ka experiences na watu waliapriciate kazi zako dahh safi sana, na pia unakuwa hardworking maaana unapewa makazi mengi kwa hiyo ukitoka hapo umeiva kweli.. ila ujipange kupiga kazi kweli.
 
Back
Top Bottom