Nafasi za kazi ya udereva

Nafasi za kazi ya udereva

Calamity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
856
Reaction score
47
Habari za mcha huu wakuu naomba msaada wenu juu ja hili nina ndugu yangu anatafuta nafasi ya udereva na ana madaraja yafuatayo; A, E, C na nimzoefu na amewahi kufanya makampuni yafuatayo SBC Mwanza branch ,coca cola miaka ya 2000, na makampuni mengi ya kitalii na analeseni mpya kuanzia 2013-2016 will be expired.yupo hapa mwanza anapatikana kwa no. 0754863016.jamani mwenye kufahamu chanel makampuni,taasisi au shirika na anawazamini wa kuaminika. najua mtanisaidia jamii forum suruhu la mafanikio.
Ahsanteni.
 
Kwanini haliacha kazi sehem zote hizo?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nyanza bottling kuna semi za coca kama yuko tayari mwambie aje anyonge stealing za kinywaji!!!!
 
Back
Top Bottom