Jaman tupeni maswali yaliyotoka leo kwenye interview, najua maswali hayawezi kuwa sawa ila mtatupa mwanga wa kitachojiri kwenye interview nyingine.
Asanteni
A secretarial service provider will start its business soon in Arusha and it is currently looking for one business partner to join the founder in the effective operation of the business.
The...
Senior Mentor Job at BBC Media Action Tanzania
Location: Tanzania
Reports to: Niambie Project Manager
Contract duration: 12 months (with possible extension)
Application instructions...
Wakuu naombeni mnisaidie Link itakayoniwezesha kuangalia/kusikiliza Bunge Maalum online.
Nimejaribu hii link ya bunge maalum Tovuti Rasmi ya Bunge Maalum la Katiba. |
lkn sifurahii kwa sababu...
Company:Tanga Cement Company Limited
POSITION DESCRIPTION:
Tanga Cement Company Limited, the leading manufacturer of the well-known SIMBA CEMENT brand, has exciting job opportunities...
wakuu salute kwenu.
nina diploma ya MECHANICAL ENGINEERING toka ARUSHA TECH. COLLEGE. huu ni mwaka wa tatu toka nimehitimu na kutokana na ukosefu wa ajira nimekuwa nikifundisha tuition mtaani...
F & B MANAGER
Company:Samaki Samaki
Position Description:
Samaki Samaki is opening in masaki. We Offer You an opportunity to Work With us
-----------------------
APPLICATION INSTUCTIONS:
Send your...
Habari zenu wanajamvi!
Mimi ni mwajiriwa kaitika benki mojawapo ya biashara hapa Dsm kama back Officer huu ukiwa ni mwaka wa tatu
Kwakweli nimekuwa na ndoto ya muda mrefu toka kipindi nasoma...
Na diploma ya marketing hali ni mbaya jamani kazi yoyote nafanya ilimradi nisivunje sheria ya nchi Mwenyekibarua yeyote ani pm hata temporary nakoelekea nahisi kuwa omba omba barabarani
unaweza kutamani nyumba nzuri lakini unaona huna hela ya kujengea
usijali tupo kwa ajiri yako wewe mwenye ndoto za kumiliki nyumba nzuri kwa gharama nafuu
tutakupa ushauri, na kufanikisha ndoto zako
Jamani hawa wajapani mbona sasa sielewi? Walisema kabla ya tarehe 28/3 tutukuwa tumejua mchakato mzima. Mimi naona siku zinasonga, watu wanagonga usaili pale ni wa nini? Mbona kizungumkuti...
Habari za asubuhi wanaJF
Naomba tupeane mwongozo kwa walioenda kwa usail wa zima moto leo. Na vipi hiyo interview ni oral au written? Na wameuliza maswali gani leo?
Consumer Banking Operations - Internship at Standard Chartered Bank - Tanzania
Kick-start your career by exploring what youre great at, while gaining valuable banking experience. Our Internship...
Wanahitajika wasichana wawili tu, umri kuanzia miaka 18-25 wenye uzoefu na mambo ya kutembeza na kuuza bidhaa maeneo mbalimbali hapa Dar.
Malipo ni kwa kamisheni,yaani utakavyouza sana ndo...
Habari zenu wana jamvi ,naomba kujuzwa kuwa hii namba(0901656564) ni ya kampuni gani kwa maana nilikuta missed call katika simu yangu juzi kwani nilituma maombi ya kazi sehemu nyingi. Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.