Nyumba uipendayo

Nyumba uipendayo

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
114
unaweza kutamani nyumba nzuri lakini unaona huna hela ya kujengea

usijali tupo kwa ajiri yako wewe mwenye ndoto za kumiliki nyumba nzuri kwa gharama nafuu

tutakupa ushauri, na kufanikisha ndoto zako
 

Attachments

  • ACCamera_1.jpg
    ACCamera_1.jpg
    222.8 KB · Views: 272
  • ACCamera_2.jpg
    ACCamera_2.jpg
    548.3 KB · Views: 255
  • ACCamera_4.jpg
    ACCamera_4.jpg
    139.2 KB · Views: 246
m nataman lkn sioni anuani ya kuweza kuwapata
 
Nyumba nzuri, lakini Jukwaa uliloleta sidhani kama ni sahihi. Huku watu wana stress na ajira afu unamwambia habari ya kumiliki nyumba.
 
Ahaaaa sorry sikujua unajua nilitumia simu ngoja nitoe then nipeleke kule
 
Back
Top Bottom