Wakuu kwa yeyote mwenye kupangisha Chumba,kiwe ni Chumba kimoja au na Sebule maeneo ya Chang'ombe kuanzia Serengeti/Kibasila Sec. Mpaka maduka mawili kinahitajika haraka sana.Shukurani!
kwa yoyote ambaye anayefahamu kuhusu post za wizara ya afya kama zinaweza kutoka lini tafadhali naomba utumbie na kama kuna maelezo mengine tunaomba utuambie,,,,,,,,thnk.
Wakuu heshima mbele...
Nina swala hapa hivi ni Kwanini kampuni au organization nyingi za hapa nyumbani zinachukua mda mrefu sana kuajiri toka wanapo kuwa! Wametangaza ajira.
Mfano: tangazo...
PRESIDENTS OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/G/02
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of the, Tea Board of Tanzania (TBT), the Public Service Recruitment
Secretariat...
Natumaini ni wazima wana JF, Kwa wale wote walioapply PPF jaribuni kuangalia email zenu wameshaanza kutuma email kwa waliochaguliwa kuingia for aptitude test-3rd,April, Thursday, University of Dar...
INTERNAL AUDITOR JOB AT TANESCO
The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzania people. Next to its...
Anatafuta kazi ya nursing msichana ana umri wa miaka 20 elimu yake kidato cha nne,ana certificate ya nurse attendant,anauzoefu wa miaka 3,ni mchapakazi hodari.
msaudueni mdogo wangu jamani...
Naomba nitumie swahili,nakaribisha mtu ambae yuko tayari kujoin force katika kampuni yangu,kazi yake kubwa itakua ni kwenda 'kulob' kazi sehem ambazo tutakua tumechukua tender na kufanya...
Niko mbeya natafuta mtu wa kujitolea kwenye NGO ambayo tayari ishasajiliwa tusaidiane kuandika project tayari tushanza kufanya kazi aliye tayari contact 0788424347. Website www.mbetf.org
Sent...
KCB BANK VACANCIES
KCB is renowned for its diversity and growth in the Region is currently strengthening its support for group operations and business with the aim of maintaining Best Practice...
TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION
CAREER OPPORTUNITY
MANAGING DIRECTOR
Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a National Institution established in 1969 with a mandate...
jamani wale majamaa wanaojiita Quality service mbona hawapo kwenye hi list link hiyo hapo tizameni wenyewe KaziBongo - Jobs in Tanzania: MAWAKALA WA AJIRA TANZANIA - JOB RECRUITMENT AGENCIES IN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.