Walioenda Kwenye Interview Leo Zima Moto na Uokoaji

Walioenda Kwenye Interview Leo Zima Moto na Uokoaji

gugumizi

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Habari za asubuhi wanaJF

Naomba tupeane mwongozo kwa walioenda kwa usail wa zima moto leo. Na vipi hiyo interview ni oral au written? Na wameuliza maswali gani leo?
 
Nadhani bado mapema sana kujua hayo mambo.Ngoja tuwavutie subra kidogo watoke kwanza kwenye mtihani.
 
Maswali ya written kwa kizungu. 1)kuna aina ngapi za moto 2)kuna aina ngapi za vifaa vya kuzimia moto na vinaitwaje? 3)unashauri nini ili kuboresha idara ya zimamoto nchini tanzania?

wadau nakumbuka hayo hayo tu mengine watatukumbusha wenzetu maana naiisi ndio nishatemwa hivyo:A S 13:
 
Back
Top Bottom