Ugumu wa ajira.

Ugumu wa ajira.

majitta one

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
204
Reaction score
14
wakuu salute kwenu.
nina diploma ya MECHANICAL ENGINEERING toka ARUSHA TECH. COLLEGE. huu ni mwaka wa tatu toka nimehitimu na kutokana na ukosefu wa ajira nimekuwa nikifundisha tuition mtaani kwetu. kwa sasa nini mpango wa kwenda kusomw diploma ya ualimu in technical education pale chuo chs ualimu KRRLLUU. kusema kweli changamoto kubwa ninayoipats ni kuwa kutokana na kwamba chuo kipo mkoano IRINGA na m
binafsi home ni MARA so sitakuwa na uwezo wa kugharamikia nauli za nenda rudi. kwahiyo naomba kama kutakuwa na mtu wa iringa humu atakayekuwa na uwezo wa kunistili pindi niwapo mda wa likizo anisaidie.

MWENYEZI MUNGU AWATANGULIE.
 
Mkuu kama kuna mtu ataweza kunisaidia kwa hili tafadhali naombeni msaada wake.
 
UMEJARIBU KUOMBA KAZI VIWANDA VINGAPI..?
ULIFANYA FIELDZAKO WAPI..?

samahani minatoa ushauri tofauti kidogo

. bado naamini mechanical engineering ni kozi nzuri ...sana
 
wakuu salute kwenu.
nina diploma ya MECHANICAL ENGINEERING toka ARUSHA TECH. COLLEGE. huu ni mwaka wa tatu toka nimehitimu na kutokana na ukosefu wa ajira nimekuwa nikifundisha tuition mtaani kwetu. kwa sasa nini mpango wa kwenda kusomw diploma ya ualimu in technical education pale chuo chs ualimu KRRLLUU. kusema kweli changamoto kubwa ninayoipats ni kuwa kutokana na kwamba chuo kipo mkoano IRINGA na m
binafsi home ni MARA so sitakuwa na uwezo wa kugharamikia nauli za nenda rudi. kwahiyo naomba kama kutakuwa na mtu wa iringa humu atakayekuwa na uwezo wa kunistili pindi niwapo mda wa likizo anisaidie.

MWENYEZI MUNGU AWATANGULIE.
mkuu fanya shahada ya elimu sayansi hii diploma itakupotezea muda tu!
ila mechanics kwa diploma ajira bado zipo sana hasa kwenye viwanda dar
 
mkuu hapo kwenye shahada ya elimu naona umekuwa mtu wa tatu kunishauri pia leo hii nimewasiliana na uongozi wa st. joseph wamenipa utaratibu namna ya kuapply tcu ili niweze pata mkopo.

ahsanteni sana kwa ushauri wenu na bado nakaribisha mawazo mbadala.
 
maswali yangu jibu niongeze kitu
 
mkuu field zangu nilifanyia URAFIKI, TWIGA CEMENT sambamba na OLAM. Kuhusu kuomba kazi viwandani nimejaribu ila sikufanikiwa. kama kuna uwezukano wa kunisaidia basi just help me.
 
Kwa ss huko mkoa gani nashangaa kuona mtu wa engineering hata kama ni diploma kuona umekaa muda mrefu kias hicho wakati mechanical ni dili sana jaribu kufanya applocation nyingi uwezavyo ni kuulizia makampuni ya mechanical cheki website ys crb utakuta makampun kibao inaonekana ww co mtu wa kujichanganya
 
Mkuu me nipo huku mara. Baada ya kuhitimu chuo nilijaribu kukaa arusha ila mambo yaliendelea kuwa magumu ndipo ikabidi nirudi home. Lakini pia nimejitahidi kufanya application hadi serikalini na nimekuwa nikiambulia patupu.

Pia ajira za tz zimebaki za kujuana na me binafsi ndo wa kwanza kujikakamua ktk tasnia ya elimu labda ndiyo maana napatwa na wakati mgumu.

Maamzi yangu ya kubadli fani ni kuweza kukabliana na janga la kujuana ktk ngazi inayofata baada ya kuhitimu coz ktk elimu hii habari ya kujuana haijashamiri sana.
 
Back
Top Bottom