Waliomba wizara ya afya mwezi wa pili wamepanga vituo vya kazi tembelea web yao Ministry of Health and Social Welfare
Waliomba wizara ya afya mwezi wa pili wamepanga vituo vya kazi tembelea web yao Ministry of Health and Social Welfare
Tuwekee majina hapa kwa msaada zaidi.
mkuu musubati nimejaribu kuingia kwenye link yao hapo juu lakini sijayakuta hayo majina naomba msaada wako tafadhaliWaliomba wizara ya afya mwezi wa pili wamepanga vituo vya kazi tembelea web yao Ministry of Health and Social Welfare
unahusika ila msaada wako umekuwa mdogome siusiki kumbe