Hivi ni lazma uwe na presha wakati ata jina ama tarehe ya kuitwa interview hujaiona,ebu kuweni wakakamavu basi.
Katka 70 wanne teyar...zinazid kupungua tu .
Me nilisema hizi nafasi zina watu sasa Leo narudia tena kuna vijana wanne wanasubiri kwenda kazini kwa kuwa baba yao Mkubwa amawaambia. Kwamba wao nafasi zao zipo wajipange kufanya kazi mazingira yoyote