Update kuhusu SUNDA

Update kuhusu SUNDA

Hawa jamaa ni washe.nzi sana.Toka nimeanza kuomba kazi zao hawajaniita hata siku moja na vigezo ninavyo
 
Hakuna watu wajinga na wasioamini na kutopenda wasomi katika kazi zao kama hawa Wachina Sunda na wale wenzao Monalisa/Border LTD. Hawataki kusikia kabisa watu wanaoitwa Graduates,na hii ni kutokana na hao Wachina wenyewe wametoka huko kwao hawajasoma na pia nafasi za wazawa zote zimeshikiliwa na STDs Seven na Div 5. So kama wewe ni Graduates uliomba kazi huko,utasubiri sana tena sana,ninachokushauri futa hayo mawazo kabisa ya kuitwa huko.
 
Hata graduates waanaajiriwa sana mbona pale sunda...hata me nshawah itwa interview mwaka juzi! Wako complicated kidogo na interview zao..wanapiga interview tatu @ different time...na mshahara wao ni laki mbili kwa marketing officers na customer services officer! Hapo hapo unakatwa na nssf 10 pamoja na kitu kingine elfu 10 so 180 ndo inabakia.So ndo pako ivo ndugu yangu sio pabaya kwa kujishikiza
 
Nilikwendaga moja pale jamaa maswali anauliza historia ya familia.,ilikuwa poa mwishoni yule mchina akaniuliza kama kuna kitu ningependa kujua.,si nikamuuliza wana intend kulipa shiling ngap kwa hiyo nafasi...jibu lake nikachoka..lak 3 gross..
Akaniambia bado kuna interview nyingine..wakanipigia after kama wik hivyi sikwenda tena.
 
wale wachina hawana maana kabisa!!!!!! laki 2...laki 3 kwao ni kawaida kabisa!!!!!
hawana tofauti sana na ndugu zao wahindi
 
Dili ni kutafuta kazi kwa waafrika wenzetu tu! na labda wazungu 😎
 
Back
Top Bottom