economista
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 291
- 247
Huwa nashangaa sana ninapokuta mtu anakosoa ubora wa vyuo vya binafsi kuwa havina ubora isipokuwa ubora upo UDSM, Mzumbe, SUA na vingine za serikali. Lakini swali la msingi bado linabaki palepale kuwa mbona robo tatu ya waadhili wa vyuo hivi vya binafsi ni zao (products) za UDSM, SUA na Mzumbe? Inamaana hawa wahadhili hawakuandaliwa vizuri huko UDSM?
Nakaribisha mawazo yenu
Nakaribisha mawazo yenu