Natafuta Kazi Wana JF

Natafuta Kazi Wana JF

GeONJC

Member
Joined
May 1, 2014
Posts
73
Reaction score
27
Ndugu msaada natafuta kazi, nimehitimu Diploma in Accountancy 2011 na nimefanya kazi kuanzia mwezi july 2011 mpaka december 2012.Baada ya hapo mkataba kuisha nimekuwa najishughulisha na biashara ya duka lakini kutokana na sababu zisizozuilika imenibidi nitafute kazi kuweza kuendelea na maisha mengine.

Ahsanteni wadau kwa yoyote mwenye msaada ani PM.

Kwa sasa napatikana Dar es salaam
 
Back
Top Bottom