akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
Mwenye updates za ile written interview tuliofanya last month atiririke jamani, naona kajua kanazidi kuzama
Duh! Mshafanya kimyakimya?
Zile ambazo mwisho wa kutuma ilikuwa tarehe 22/4 au zipi hizo?Written ilishapigwa mwezi uliopita
Zile ambazo mwisho wa kutuma ilikuwa tarehe 22/4 au zipi hizo?
Ok mkuu nimekupataNo, zenyewe zilikuwa za mwezi wa pili, nyingi zilikuwa ni Engineering based.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hapo sawa kiongozi. Vipi zile za mwisho April 22 mkuu?