Yaliyojiri oral interview uhamiaji

Yaliyojiri oral interview uhamiaji

Prezda

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
61
Reaction score
9
Wakuu mlokwepo ukonga kwenye oral interview uhamiaji naomba mtuambie yaliyojiri huko mimi nilichekechwa taifa
 
Mh, ulichekechwa taifa au ndio janja ya taka jua maswali ili ujiweke fiti zaidi? Ushauri wang endelea kujiandaa kama unavyofanya hivi sasa na nna uhakika ukiwa unajiamin utapita tu,ila wakuja kukupa maswali hapa sidhani,zaid udanganywe tu.
 
kwa nini wamdanganye, wivu?!!!
 
Back
Top Bottom