Researcher need help Tafadhari.

Researcher need help Tafadhari.

Lukanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
518
Reaction score
538
Kichwa cha Habari chajieleza.
Najua humu kuna watu tofauti tofauti, ivo napenda kutumia fursa hii kujitangaza kwa mwenye kuhitaji watu wa Research yan Researchers, Monitoring and Evaluation au mtu wa trainee aweze kuniconsider au kama amaweza kuni connect na watu wa namna hiyo nitashukuru pia. Napatikana Dar Es Salaam.

Mimi ni Graduate wa Social Scince na nna uzoefu wa mambo ya research mbali ya kuwa nimesoma course za reseach pia nmefanya kazi na makampuni au Mashirika baadhi ya reseach miongoni ni, (RTI) Researching Triangle International na Tanzania Environmental Action Association (TEAA).
Tafadhari kwa mawasiliano.
Email; gyzo89@yahoo.com
 
Nimekutumia PM mkuu,hebu icheki
 
Back
Top Bottom