Mshahara wa Assistant Lecturer

nyanda5

Member
Nov 25, 2014
49
40
Wakuu habari! Naombeni msaada wenu kwa mwenye taarifa za mshahara wa kuanzia kwa assistant Lecturer, kuna nafasi naifukuzia UDOM lakini ninashauku ya kujua mshahara kabla sijaingieko, nina masters degree 1 lakini pia nina bachelor's degree 2. Nimejaribu kuangalia threads zilizopita nikaiona moja (post ya mwaka 2011 September 24) hivyo muda umekuwa mrefu sana nadhani scale zitakuwa zimebadilika. Hapa chini ni post ya scale za mwaka 2011

[Date: Septermber 24, 2011]"Mshahara wa Assistant lecturer ni PUTS 13 hadi PUTS 14 ukiajiriwa upya lazima uitumikie hiyo PUTS 13. PUTS 13 ni kama 1,348.070/= na PUTS 14 ni kama 1,701,070/= na hizo zote ni basic bado makato PUTS13 ukikatwa makato yote unachukua take home kama laki tisa na kitu hivi na PUTS 14 ukikatwa unaondoka na take home kama milionna laki mbili hivi hapo kama hauna mikopo.Hakuna marupurupu mengine mkuu hii ni kazi ya wito si ualimu au hujui Ukitaka rank zingine zipo kama lecturer,senior lecturer,Associate prof and full prof.Kazi njema".
 
Yani ww unawaza mshahara tu na ufikirii ufani wa kufanya kazi, aiseeeee

Naheshimu mawazo yako, lakini pia hakuna kitu muhimu kama kuangalia maslahi kwanza. Kuna fursa ambayo niko nayo kwa sasa hivyo nataka kufanya ulinganisho wa maslahi mkuu kabla ya kufanya maamuzi.
 
Nimerudi tena kuwashukuru wale wote waliochangia, lakini zaidi namshukuru mdau mmoja ambaye ameni-inbox kunijuza kile nilichokuwa naulizia, kwa faida ya wengine wenye kutaka kujua soma hapo chini.

"Habari yako! Nimeona post yako unauliza khs salary. Mimi ni A. Lecturer. Salary kwa public universities kwa ngazi hiyo ni 2,545,000/-. Hiyo ndio unaanza nayo kabla ya makato. Wakikata vyao inabaki kama 1.7 or 1.8 hivi".
 
Duh? Kumbe kwa wahindi kuna nafu. Ingawa unaweza timuliwa muda wowote. Watumishi kumbe mbwembwe tu na wizi Mishahara kiduchu.
 
Nimerudi tena kuwashukuru wale wote waliochangia, lakini zaidi namshukuru mdau mmoja ambaye ameni-inbox kunijuza kile nilichokuwa naulizia, kwa faida ya wengine wenye kutaka kujua soma hapo chini.

"Habari yako! Nimeona post yako unauliza khs salary. Mimi ni A. Lecturer. Salary kwa public universities kwa ngazi hiyo ni 2,545,000/-. Hiyo ndio unaanza nayo kabla ya makato. Wakikata vyao inabaki kama 1.7 or 1.8 hivi".
naomba kujua kuhusu marupurupu ninayoweza kupata
 
mshahara sio mbaya.. hasa ukiwa mjanja mjanja.. kazi ya ulecture inakupa muda free mwingi sana ukiwa mjanja mjanja...

Nimerudi tena kuwashukuru wale wote waliochangia, lakini zaidi namshukuru mdau mmoja ambaye ameni-inbox kunijuza kile nilichokuwa naulizia, kwa faida ya wengine wenye kutaka kujua soma hapo chini.

"Habari yako! Nimeona post yako unauliza khs salary. Mimi ni A. Lecturer. Salary kwa public universities kwa ngazi hiyo ni 2,545,000/-. Hiyo ndio unaanza nayo kabla ya makato. Wakikata vyao inabaki kama 1.7 or 1.8 hivi".
 
Udom chuo cha figisu figisu.
Wanaita watu kweny interview lakini wana watu wao tayari.
Wanaweza wakaitangaz kazi hata mara tano.
Na mkaitwa mara zote ila no kuajiriwa.
Sijui wanafanya siasa ili iweje

Kama hamuamini muulizeni hio kazi anayoifukuzia imetangazwa wapi?
Hapo akishakula hio kaz ndio watazitangaza kwenye website yao.
 
Back
Top Bottom