naomben kazi

naomben kazi

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Habar zenu ndugu zangu.mi ni kijan mwenye umr wa miaka 24 naomben kazi yoyot iliyo halali niko dar kwa anaewez kunisaidia nitashukur
 
Ni pm umepata location ya kazi ni magwepande kazi ni kuogesha watoto na wazee !! Fanya hivyo swaumu njema
 
jaman mtu anapoomba msaada c lazima ufanye utani umu tuwe serious
 
Kuwa serious kidogo kiongozi elezea elimu yako watu wajue unasaidiwa vp kaka
 
nina elimu ya kidato cha nne
 
cna ujuz wowot zaid ya kutengenez cm mkuu
 
Ni pm umepata location ya kazi ni magwepande kazi ni kuogesha watoto na wazee !! Fanya hivyo swaumu njema

ulichokiandika na jina lako havina tofauti nashukr
 
Back
Top Bottom