Vipi kuhusu hizi kazi za dubai

Vipi kuhusu hizi kazi za dubai

Gwesefe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
682
Reaction score
382
jamani kuna rafiki yangu mdada yeye ni std 7 amepata kazi dubai kufanya kazi ya usafi kwenye supermarket, na anatarajia kuondoka wakati wowote, je zikoje hizi kwa wanaozifahamu.
 
Poa tu, kazi ni kazi.

Mshahara ataopata Dubai kwa kazi za kusafisha akiu convert kwa pesa zetu ni zaidi kuliko ataopata hapa.

Muda mchache akijibana anaweza kujikuta kisha-jenga na kisha jiwekea kia akiba aina fulani Mradi asifate anasa atapokuwa huko, kwani Dubai ni mji wa anasa na anasa za huko ni ghali kwa mfanya kazi wa kawaida.

Tatizo kubwa ni home sickness, sasa msongo wa mawazo ya kuwa mbali na nyumbani unalinganisha na pesa ukiona inalipa unafanya ukiona hailipi unarudi hapa kuendelea na kupigana na malaria zisizoisha.

Mimi nimeishi nje ya Tanzania kwa miaka mingi sana, najuwa nnachokiongea.
 
Kuna thread humu ililetwa ya unyanyasaji wa wafanyakazi huko ikiwemo sexual harrasement, nadhani walimuongelea binti wa Kenya aliyeacha mwanae akaenda nchi hizo za kiarabu kusaka pesa,akakuta ndivyo sivyo! Hata watu wa polisi na ubalozi hawakuwa wa msaada kwake. Jihadhari!
 
Poa tu, kazi ni kazi.

Mshahara ataopata Dubai kwa kazi za kusafisha akiu convert kwa pesa zetu ni zaidi kuliko ataopata hapa.

Muda mchache akijibana anaweza kujikuta kisha-jenga na kisha jiwekea kia akiba aina fulani Mradi asifate anasa atapokuwa huko, kwani Dubai ni mji wa anasa na anasa za huko ni ghali kwa mfanya kazi wa kawaida.

Tatizo kubwa ni home sickness, sasa msongo wa mawazo ya kuwa mbali na nyumbani unalinganisha na pesa ukiona inalipa unafanya ukiona hailipi unarudi hapa kuendelea na kupigana na maaria zisizoisha.

Mabox ulianza bebea nchi gani najua hutamaindi kwa hili swali la kizushi mwezi mtukufu huu .
 
Nilianzia Uingereza nikamalizia Canada, niliondoka Tanzania miaka ya 70s, wakati huo tunaingia Uingereza na Canada bila Visa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna thread humu ililetwa ya unyanyasaji wa wafanyakazi huko ikiwemo sexual harrasement, nadhani walimuongelea binti wa Kenya aliyeacha mwanae akaenda nchi hizo za kiarabu kusaka pesa,akakuta ndivyo sivyo! Hata watu wa polisi na ubalozi hawakuwa wa msaada kwake. Jihadhari!

Sexual harassment kwenye kazi hata Tanzania ipo tena kwa sana tu kuliko huko. Mpaka juzi Waziri fulani wa Ikulu kaliongelea hilo tatizo lilivyokithiri hapa kwetu.
 
Poa tu, kazi ni kazi.

Mshahara ataopata Dubai kwa kazi za kusafisha akiu convert kwa pesa zetu ni zaidi kuliko ataopata hapa.

Muda mchache akijibana anaweza kujikuta kisha-jenga na kisha jiwekea kia akiba aina fulani Mradi asifate anasa atapokuwa huko, kwani Dubai ni mji wa anasa na anasa za huko ni ghali kwa mfanya kazi wa kawaida.

Tatizo kubwa ni home sickness, sasa msongo wa mawazo ya kuwa mbali na nyumbani unalinganisha na pesa ukiona inalipa unafanya ukiona hailipi unarudi hapa kuendelea na kupigana na maaria zisizoisha.

Mimi nimeishi nje ya Tanzania kwa miaka mingi sana, najuwa nnachokiongea.

Fagiliaaaaaaaaaaaaa,wawaaaaaaaaaaaaaaa Faiza Fox,
Tatizo la pili kwamba ndugu waliobaki hawafanyi kazi tena wanetegemea wewe.
Maana kwa mizinga watu wanaobaki ni balaa,maana hata huyo alieleta uzi ikifika miezi sita tu lazima ampige bom.
 
Jamani hzo nafasi zinapatikanaje 2naomba link

Piga namba hii, huyo ni Mkurugenzi wa kampuni inayojihusisha na hizo kazi za kuwapeleka watumwa mambo leo Dubai: 0773000132
 
Heshima kwako mkuu,
mkuu niungie pande basi na mimi nikajibebee box niongeze kipato.

Piga namba hii, huyo ni Mkurugenzi wa kampuni inayojihusisha na hizo kazi za kuwapeleka watumwa mambo leo Dubai: 0773000132

Mwambie nimepewa namba na Faiza, utapata priority. Wala usiwe na hofu.
 
Kuna thread humu ililetwa ya unyanyasaji wa wafanyakazi huko ikiwemo sexual harrasement, nadhani walimuongelea binti wa Kenya aliyeacha mwanae akaenda nchi hizo za kiarabu kusaka pesa,akakuta ndivyo sivyo! Hata watu wa polisi na ubalozi hawakuwa wa msaada kwake. Jihadhari!

Hivi nani kakuambia Dubai wanaishi warabu tu?
Unaweza kutembea toka asbh mpaka jioni Dubai 80% utaokutana nao au kushirikiana nao sio warabu,hebu tembeeni kidogo japo sio kila kitu kuhadithiwa na kujaza chuki na chumvi
 
Piga namba hii, huyo ni Mkurugenzi wa kampuni inayojihusisha na hizo kazi za kuwapeleka watumwa mambo leo Dubai: 0773000132

Mwambie nimepewa namba na Faiza, utapata priority. Wala usiwe na hofu.

Duhh,Faiza kweli we noma,
Yaani huu msaada ni mkubwa sana kwa wadau.Haya Number hiyo kazi kwenu.
Mungu akuzidishie,ukiachika usikae ujane nikuoe mie.
Sema "Ameen"
 
Hivi nani kakuambia Dubai wanaishi warabu tu?
Unaweza kutembea toka asbh mpaka jioni Dubai 80% utaokutana nao au kushirikiana nao sio warabu,hebu tembeeni kidogo japo sio kila kitu kuhadithiwa na kujaza chuki na chumvi

Kweli kabisa, Dubai Waarabu ni kidogo sana na wananchi ndio kabisa hawazidi asilimia 10.
 
Duhh,Faiza kweli we noma,
Yaani huu msaada ni mkubwa sana kwa wadau.Haya Number hiyo kazi kwenu.
Mungu akuzidishie,ukiachika usikae ujane nikuoe mie.
Sema "Ameen"

Ntakuoza mjukuu wangu ukiwa na vigezo vifuatavyo:

Kwa mali zao
Kwa uzuri wao
Kwa nasaba zao
Kwa dini zao
 
Back
Top Bottom