Natafuta kijana wa kunisaidia kuuza duka

Natafuta kijana wa kunisaidia kuuza duka

djesco

Senior Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
166
Reaction score
52
Habari wakuu nimepata kibarua somewhere ila tayari nilikuwa na Duka langu dogo hivi asa siwezi kujigawa huku na huku so kama kuna kijana awe wa kike au kiume awe anajua hesabu vizuri.

Pia awe anaishi maeneo ya vingunguti au buguruni au Kiwalani ili awe anawahi asubuhi saa moja kamili kama wataka nipigie 0655404707
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom