Aliye tayari tubadilishane vituo vya kufundishia

Aliye tayari tubadilishane vituo vya kufundishia

asanje

Member
Joined
May 24, 2013
Posts
24
Reaction score
0
Kama kuna mwl anataka kuhamia Ngara Kagera kutokea Dodoma mjini au Chamwino,tuwasiliane 0789 123461.
 
Ngara kata gani na upo shule gani? Mi nipo Dar na huko uliko ndo home, so toa details nione km patanifaa.
 
Mi nipo Ngara mjini nafundisha sekondari ya KIBIMBA siyo mbali sana na mjini kwani walimu wote tunakaa mjini,Kama utatamani kurudi home,ni pm tupeane mawasiliano vizuri.
 
jamany nahitaji kuhama huku goweko sec,uyui tabora..Anaweza kunisaidia naomba msaada nahitaji kurudi dodoma nmwangalie mama yangu na hali yake....please jamany 0767290887
 
Back
Top Bottom