Wale 70 kuripoti kazini.

Wale 70 kuripoti kazini.

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
333
Reaction score
90
Mod naomba msiunganishe uzi huu.Nimesoma michango ya wachangiaji juu ya ile taarifa ya kusitishwa kwa ajira nimegundua wengi wetu tunachanganya. Ajira zilizositishwa ni za makoplo na makonstebo.
Wachangiaji wengi wanazihusisha na zile za WAKAGUZI WASAIDIZI maarufu kama za UWANJA WA TAIFA. Ikumbukwe kuwa interview iliyofanyika uwanja wa taifa ni za wakaguzi wasaidizi na hizi kwenye tangazo haxijaguswa

Sasa tufahsmishane yale majina yaliyotapakaa kwenye mitandao yakiwa na jamaa za karibu wa watu hao wanaofanya uhamiaji yalikua ya makoplo na makonstebo au yslikua ya wakaguzi wasaidizi?
 
yale majina yalikuwa ya wale ndugu zetu waliokimbizwa uwanja wa taifa.

Sijui na mwakani nako watatufanyia hivi hivi?

Dah, leo msafara wa Mwenge umekatiza hapa mabibo, kwa jinsi ulivyokuwa umesheheni nyomi, niewaza sana juu ya government expenditures kwenye mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa!

Badala ya kuwekeza katika miradi ya kupunguza tatizo la ajira, wao wanakimbizana na mwenge huku wakila kodi ya wenyenchi!
 
Mkuu nijuavyo walioenda taifa ni wakaguzi wasaidizi wa uhamiaji. makoplo ma makonstebo wao hawakufanyia taifa.
Taarifa ya wizara imesitisha ajira za makonstebo na makoplo.
Ajira za wakaguzi wasaidizi hasikusitishwa. Ikiwa yale majina yaliyokatika mitandao ni ya wakaguzi wasaidizi basi uhamiaji kupitia wizara wametwist kidogo akili za watu kusitisha sjira za makonstebo na makoplo na moja kwa moja watu wakafikitlri ni ile interview ya watu wa taifa (wakaguzi wasaidizi wa uhamiaji maaru kama wateule 70)
 
Acha kupotosha watu, kazi zote za uhamiaji zimesitishwa, au umetumwa? Usitutia hasira wewe!
 
Kwa mujibu wa lile tangazo lakini ni wale mankostebo na ma koplo sijui kama na wale wa uwanja wataifa wanahusika na hilo tangazo
 
200 - 30= 170

hao MAMLUKI 30 WALIOTAJWA wawekwe KANDO wasubiri usahili wa Mwakani... TUME TENDENI HAKI.
 
Mkuu, Makaura, soma taarifa iliyotolewa na wizara.
Nilileta uzi huu na kumuomba mod hasiuunganishe baada ya kuona wengi wetu tunachanganya mambo.
 
Mod naomba msiunganishe uzi huu.Nimesoma michango ya wachangiaji juu ya ile taarifa ya kusitishwa kwa ajira nimegundua wengi wetu tunachanganya. Ajira zilizositishwa ni za makoplo na makonstebo.
Wachangiaji wengi wanazihusisha na zile za WAKAGUZI WASAIDIZI maarufu kama za UWANJA WA TAIFA. Ikumbukwe kuwa interview iliyofanyika uwanja wa taifa ni za wakaguzi wasaidizi na hizi kwenye tangazo haxijaguswa

Sasa tufahsmishane yale majina yaliyotapakaa kwenye mitandao yakiwa na jamaa za karibu wa watu hao wanaofanya uhamiaji yalikua ya makoplo na makonstebo au yslikua ya wakaguzi wasaidizi?

Kwa mujibu wa ufafanuzi hta zile za mkaguz msaidiZ zimesitishwa kiufupi ajira zote 270 huenda zikatangazwa upya
 
Back
Top Bottom