GRAPHICS DESIGN
Senior Member
- May 28, 2014
- 103
- 39
Habari wana JF samahani kuna siku tulifanya interview pale FINCA TZ makao makuu na mpaka sasa sijasikia majibu yeyote naombeni mnaojua mnijuze plz.
Habari wana JF samahani kuna siku tulifanya interview pale FINCA TZ makao makuu na mpaka sasa sijasikia majibu yeyote naombeni mnaojua mnijuze plz.
Ubabaishaji mwingi sana pale! Ndio maana watu wanatimka pale kila kukicha.
Nafasi zile ni kama za uhamiaji! Watu walishaajiriwa siku nyingi!