Kazi kwa vijana wenye kujituma

potokaz

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
530
486
Sales executives wanahitajika kwa ajili ya kutafuta wateja wa vifaa vya kielectroniki. Malipo ni kwa commission inayoanzia shilingi elfu 40 hadi elfu 50 ka kila kifaa/ mashine itakayopata mteja.Utapewa muongozo wa utekelezaji wa majukumu utakayopangiwa na utapewa training ya kutosha.Sifa Vijana wenye kujituma na wenye bidii ya kazi hasa wenye uzoufu na kazi za marketing.
Mashine hizi ni utekelezaji wa agizo la Serikali.
Tuma maombi yako kwa etrsolutions@yahoo.com, baada ya hapo wale watakaopitishwa watapewa maelekezo ya hatua zinazoendelea.
 
Back
Top Bottom