Call for interview TPDC

Call for interview TPDC

BTW list haijakamilika naona. Yaani wametoa nusu nusu. Jana jumatatu nilikua na mfanyakazi flani wa hapo, akaniambia wanaweza kuita for interview si muda.
 
ungemuuliza na kuhusu kazini wataita lini kwa tuliofanya usaili toka may?
 
Alinipa reason siku kadhaa zilizopita. Na nilishaisema. Kumuuliza tena kuhusu sae issue nikaona sio vema.
 
hiyo reason mi ndo siijui mkuu

Ok sorry. Kaniambia, management ya juu ya pale (hakutaja vyeo), ilipanguliwa na ukafanyika uteuzi mpya. So, hawa "wageni" nadhani watahitaji sometime. Kwahiyo according to source yangu, kikwazo kikubwa hadi sasa ni huo mpangaruko tu wa menejiment.
 
BTW list haijakamilika naona. Yaani wametoa nusu nusu. Jana jumatatu nilikua na mfanyakazi flani wa hapo, akaniambia wanaweza kuita for interview si muda.

vipi kuhusu NAFASI ZA GAS PLANT SHIFT SUPERVISOR,GAS PIPELINE SHIFT SUPERVISOR?SIJANA WAKIZIITA

KWANINI WASIITE NAFASI ZOTE?
 
MKUU NAOMBA NIKUULIZE,secrete service
Hivi zile nafasi za Manager commuications,Procurement manager,Risk Manager,Director of Upstream and Downstream,ZENYEWE HUWA HAZITOKI KWENYE WEBITE?deadline yake ilikuwa 31may,2014.au zenyewe haziwekwi tkt website? kama nafasi za juu hawaweki mbona Plant manager etc waliweka wakati ni post ya juu pia?
 
Nadhani boss unaongelea zile zilizotoka za Managers tupu si ndio? Hafu ndio zikafuatiwa na hizi zilizoitwa leo for interview si ndio?

Sijajua reasons behind, ila lazima wakiita interview wataweka kwenye website yao (ninavyodhani), ila pia nina fikiria kwakua Managers tunategemea watakua wachache walioapply na wenye qualifications, wanaweza kuamua kuwapigia simu directly na kuwaita kwenye interview, ambayo nategemea itakua oral moja kwa moja.
 
vipi kuhusu NAFASI ZA GAS PLANT SHIFT SUPERVISOR,GAS PIPELINE SHIFT SUPERVISOR?SIJANA WAKIZIITA

KWANINI WASIITE NAFASI ZOTE?

Boss, wameita zote nadhani umeshaziona.
 
Duh sijui barua zangu huwa zinapotelea posta!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom