Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Vuta picha mbele yako ulipo ajiriwa kwa mara ya kwanza, Ulifanya nini???
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello Tanzanians! Tanzania Mainland has been granted support from the Global Partnership for Education (GPE) for the period 2014/15-2016/17 to support implementation of the Primary Education...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa Jf,natafuta kazi ya udereva wa gari iwe private car au gari za biashara mfano;lori,canter,carry,pick up n.k.Nina elimu ya form 4,nina leseni mpya yenye madaraja A,B,D&E,umri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa nataka kwenda dubai kutafuta kazi nina Bachelor ya Electronics and Telecommunication Engineering. Kwa yoyote anayejua kuhusu kule taratibu za kupata kazi naomba anielekeze
0 Reactions
14 Replies
7K Views
gazeti la leo Ijumaa 15/08/2014
0 Reactions
4 Replies
6K Views
vipi jamani tupeane taarifa ikipatikana kazi ya ualimu wa veta.
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Kuna friend of mine ametumiwa hii email asubuh na kuniomba ushauri hasa kwenye kutakiwa kulipa hii 30,000/= binafsi nimemwambia aachane nao. Email ni hii "Good Evening After desk review of...
0 Reactions
54 Replies
11K Views
Wandugu, Tunatafuta Watajwa hapo juu ambao wanajua vyakula. Utunzwaji wa vyakula.Sifa ni cheti mpaka degree. Cha muhimu ni kujua au kuwa ushawahi kufanya kazi kwenye stores ya vyakula (kutunza...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu nimesikia tume ilioundwa kuchunguza madai imeongezewa muda baada ya siku kumi kumalizika ikiwa bado haijakamilisha uchunguzi wake Je? tume hii imeongezewa siku ngapi? kwa anayejua tafadhari
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu matokeo ya usahili wa kuandika tuliofanya Julai mwanzoni pale DUCE Chang'ombe tupeane habari isije ikawa ni subiri hewa kumbe watu wapo kazini. Ilikuwa ni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
POSITION: ESTATE OFFICERS -MECHANICAL ENGINEER Purpose of the Job To assist the Estate and Administration Manager in the supervision of refurbishment, maintenance and repair of mechanical...
0 Reactions
19 Replies
14K Views
UNAKARIBISHWA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA KIBIASHARA CITY CENTER POSTA SIKU:- 15 AUGUST 2014 MUDA:- SAA 04:30 JION UKUMBI:-GOLDEN JUBILEE TOWER MERU HALL, 4TH FLOOR (mtaa wa ohio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mwenye taarifa za magereza atupashe maana uhamiaji walishatupiga chini nahatuelewi hatma yetu, zimamoto wakatuzima sasa magereza vipi naninyi hamtutaki???????????????
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wenye sifa stahiki.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu naomba kujulishwa kati ya afisa tawala na afisa utumishi aliyeajiriwa serikalini (mkoani/wilayani) ni nani anafaidika zaid na nafas yake?! Majibu yatolewe Kwa kuangalia nani ana nafasi ya...
0 Reactions
27 Replies
27K Views
Wakuu vipi.. Je! kama mtu anataka kutuma application DTB anatumia njia gani tofauti ya posta au mwenye email tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wafanyabiasha HELP ACCOUNTANT,inatoa huduma ya kiuhasibu kwa wale wanaohitaji,Ninatoa huduma zifuatazo 1.Kuandaa accounts kwa kutumia Viwango vya kimataifa vya uaandaaji wa FINANCIAL...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Habari jamii! Mwenyekuzifahamu kampuni zinazo-deal na clearing and forwarding zilizopo Dar es salaam au Mtwara anitajie nataka kuomba ku-Voluntee. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeshtushwa baada yakuona makontena matatu ya barua walizotuma with kuomba kazi mbalimbali utumishi. Imekaaje hii? Inaonesha ajira ni janga kuu.
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Wanajamiiforums nina bachelor ya ICT, natafuta kazi yoyote hata ya kufundisha vyuo vya diploma na certificate katika masomo yafuatayo. 1.Database design&administration (mysql&or acle) 2...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom