Nimegraduate mwaka huu UDSM...nina shahada (degree) ya masuala ya ICT...natafuta kazi yoyote ya ICT...nina CCNA na pia CCNP.
Mawasiliano: hwinnes2010@gmail.com
Anahitajika mwalimu wa somo la Kiswahili kwa shule ya sekondari.
Sifa za mwalimu:
Awe na diploma au shahada ya elimu kutoka katika chuo kinachotambulika na serikali.
Awe na uzoefu wa kufundisha...
habar zenu wanajamvi jana nimefanya interview pride but jinsi ya kupata taarifa km mtu umefaulu oral hawakusema na km wakiamua wawapigie watu simu kwa wale waliofaulu sasa tatzo kwa wengne ambao...
Npo jkt mwaka na nusu sasa,ndoto zangu ilikuwa nikutumikia kitengo cha PCCB, niliptia huku JKT mana niliambiawa PCCB wanachukulia watu huku JKT,Lakin wamekuja kufanya usaili hawakuwataka degree...
:attention: :welcome:
The United Nations University Institute for Natural Resources in Africa is organizing a short course in Environmental Journalism on 3rd 14th November, 2014 in Accra...
habar wana jf ni nimeitwa kwenye interview kesho position ya marketing officer naomba msaada mtu ambaye amewahi kuhudhuria interview yao maswali wanayouliza asanten
Ni Graduate wa B.com(Marketing) Nina ujuzi Kwenye
1.Matumizi Ya Computer hasa kwenye excel,PowerPoint Na Other Ms Office Application.
2.Nina Professional Ya Insurance(COP) Niliyoipata Pale Chuo...
Habari zenu waungwana naomba kujua maslahi ya watumishi wa bunge(non MPs) kwa ngazi ya astashahada, stashahada na shahada wenye proffesional ya public relation, record management, procurement na...
Wadau habari,hv ni nani amewah kujiuliza wataalamu wa kutengeneza saa siku hz kama wanapotea na inavyoelekea siku zijazo watatoweka kabisa kama c kupotea.JE unafikiri ni kwa nn? Hapa ninamaanisha...
Wadau nna basic na technician certificate in wildlife management and tourism kutoka mweka nahitaji kuvolunteer kwenye kampuni yyt ili nipate uzoefu kwn bado natarajia kuendelea kusoma.
Mwenye...
Wadau naomba msaada tutani,niliomba nafasi ya Mhasibu Msaidizi,Umoja wa Ulaya!!!!
Leo wameniita kwenye usaili ijumaa saa 4:30, makao makuu ya umoja wao dsm mtaa wa mirambo!!
Wameniambia niende...
We require part time and full time teachers in the following areas:
Media studies
Human resource management
Business studies
Marketing management
If you can teach in more than one area, you...
Ni muda sasa toka hao waajiri hapo juu watangaze nafasi za kazi na wenye sifa wakatuma maombi yao..
Je, kuna mdau yeyote mwenye tetesi kuhusu lini hayo mashirika yatatoa shortlist ya...
Pande zote nchi nzima tumekuwa tukisumbuka juu ya hili janga la ajira nchini! Kiukweli kabisa hili ni tatizo kubwa na wahanga wa hili tatizo ni wengi sana! Lakini tumekuwa tukisema kazi hazipo! Mi...
salam wana jamii..natafuta college ya kufundisha masomo Haya;
1.economics
2.statistics
3.basic mathematics
4.business research.
Nina degree ya Economics and Statistics.
Wanajamiiforums nina bachelor ya ICT, natafuta kazi yoyote hata ya kufundisha vyuo vya diploma na certificate katika masomo yafuatayo.
1.Database design&administration(mysql&oracle)
2. Web...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.