Natafuta kazi wanajamiiforums

Natafuta kazi wanajamiiforums

NetworkEngineer

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
1,974
Reaction score
1,210
Wanajamiiforums nina bachelor ya
ICT, natafuta kazi yoyote hata ya
kufundisha vyuo vya diploma na
certificate katika masomo
yafuatayo.
1.Database design&administration
(mysql&or acle)
2. Web development(html &css)
3. PHP programming
4.m/s office package.
Nipo dar kwa sasa. Natanguliza
shukrani.
Contacts: 0768277927,0652241153
 
Umewahi kufikiria kutumia taaluma yako kubuni software zitazorahisisha shughuli mbalimbali? Kama umewahi kufikiria nini kikwazo kwako?
 
Una GPA ya ngapi mkuu? Maana bila kuanzia 3.8 hujafundisha bado
 
Vizur,sasa cha kufanya tuma maombi kwa hr wa chuo unachotaka kufundisha. Ukichagua from distance away will give u advantage.
 
Mi nasoma programing na web development ili nije kupiga pesa nashangaa unasubiri ajira, mi nikiwa kama wewe nisinge hangaika kabisa, umemaliza lin?
 
Mi nasoma programing na web development ili nije kupiga pesa nashangaa unasubiri ajira, mi nikiwa kama wewe nisinge hangaika kabisa, umemaliza lin?

Mawazo yako sio mabaya,ila pia usidhani kama ni rahisi sana kupiga hizo hela. Binafsi nimefanya hayo madili mengi tu nikiwa kama coordinator. Ila nakwambia kuna watu ni software engineers wazuri lakini hakuna anae mtaka. Simple because hawajui nini customers wanataka.
Maliza uingie mtaani ndo utajua kwa ukaribu
 
uko sahih mkuu
 
Back
Top Bottom