wakuu vipi..je kama mtu anataka kutuma application DTB anatumia njia gani tofauti ya posta au mwenye email tafadhali.
wakuu vipi..je kama mtu anataka kutuma application DTB anatumia njia gani tofauti ya posta au mwenye email tafadhali.
Nafasi gani jibu faster nikupe mail yao
haya naona unachelewa kujibu hii hapa ila usiapply niliyoomba mimi hahahahahahaa!! RecruitAug14@diamondtrust.co.tz
nafasi gani jibu faster nikupe mail yao
haya naona unachelewa kujibu hii hapa ila usiapply niliyoomba mimi hahahahahahaa!! recruitaug14@diamondtrust.co.tz
asante kamandaa