Uhamiaji hadi lini?

Uhamiaji hadi lini?

mdalla 1

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
120
Reaction score
20
Ndugu nimesikia tume ilioundwa kuchunguza madai imeongezewa muda baada ya siku kumi kumalizika ikiwa bado haijakamilisha uchunguzi wake
Je? tume hii imeongezewa siku ngapi? kwa anayejua tafadhari
 
Muda aujulikani ndugu but hatazidi zile siku kumi
 
tangazo lenyenwe la kizushi...muda ukiongezwa kawaida huweka wazi zimeongezwa siku ngapi???toka lini mpaka lini??
 
Back
Top Bottom