Tuongee mchongo wa freelancing kwa graduate: Kama umemaliza chuo na huna kazi
Kama umemaliza chuo na huna kazi
Unaweza kuanza kufanya freelancing na kupata wateja au kazi kwa kutumia elimu yako...
Habari za mda huu waungwana mimi ni mkufunzi wa kujitolea katika moja ya chuo hapa mjini kwa mda wa mchana hivyo natafuta kazi ya kuniingizia kipato mda wa usiku ili kubalance maslah madogo...
Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo.
Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi...
Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo.
Kwa mawasiliano 0786168340
Wakuu
Kwa sisi ambao hatujaridhika na matokeo ya TRA tuliambiwa tukate rufaa kwa kutuma barua kwa wahusika kueleza sababu za kutoridhika na hayo matokeo yao ambayo kiuhalisia ni yamepikwa tu.
Je...
Habari za asubuhi wakuu.
Jana nilikua miongoni mwa watanzania tuliobahatika kuhudhuria usahili wa mamlaka ya mapato Tanzania,kituo changu cha usahili kilikua kule sabasaba.nilifanya nafasi za Tax...
Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
Habari wakuu,
Kwanza nitoe pongezi kwa wale wote waliochaguliwa kwa ajili ya usaili wa mahojiano utakaofanyika kuanzia tarehe 02 Mei hadi 14 Mei, 2025.
Na kwa wale wote walio na malalamiko tayari...
Napata mkanganyiko kuelewa juu ya alama za matokeo ya majibu ya interview ya TRA. Majibu yaliyotoka tarehe 26.04.2025
1. Hapa nitazungumzia paper ya academic officer na warden ambazo zilikuwa na...
Habari wapendwa.
Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI...
Habari zenu wapendwa. Samahani Nina changamoto kwenye kubook training, inaniandikia no data na nilishapata registration namba, na pia kwenye dashboard yangu upande wa taesa training inaniandikia...
Elimu yangu ni form four
Umri miaka 33 (me)
Kazi yoyote ya halali popote
Sifa ya ziada
Najua kucheza na kompyuta kiasi fulani ingawa sina vyeti (sijasomea rasmi)
Nina cheti cha ualimu Shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.