Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari nilikuwa natafuta kazi yeyote ambayo itanifanya kujikiumu mahitaji yangu pamoja niweze kulipa ada chuoni masomo nikipata kazi masomo ninaweza kushift evening classes ninapitia hali mbaya...
5 Reactions
16 Replies
939 Views
Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani. kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake...
7 Reactions
85 Replies
7K Views
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Mweka -Moshi inatangaza nafasi za kazi zifuatazo; 1.nafasi ya kuhudumia wateja ( Service) 2.mpishi ( Chef) Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa...
2 Reactions
8 Replies
898 Views
Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo " Mwenye stashahada...
0 Reactions
1 Replies
569 Views
TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti...
0 Reactions
1 Replies
721 Views
Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
4 Reactions
65 Replies
6K Views
MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja Kuna uwezekano...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Habari za muda huu wapendwa, poleni na majukumu mbalimbali katika kulijenga taifa letu. Lengo la uzi huu ni kujuzana ni maswali ya namna gani yanaulizwa katika interviews za tutorial assistant...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Helloo Tanzania naitwa Jenipha nimemaliza degree ya accounting chuo kikuu cha dar es salaam natafuta kazi Asanteni 0713776534
1 Reactions
1 Replies
397 Views
Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kutoka kwa Rajiv J. Shah Rais wa The Rockefeller Foundation Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika? Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini...
2 Reactions
17 Replies
884 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 kupitia tovuti...
4 Reactions
52 Replies
10K Views
.
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja. Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya...
7 Reactions
160 Replies
33K Views
Wakuu mko poa. Nmekuja kutafta fursa acha niende kwenye point.. Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designerna content creater. Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5. Aina za Kazi nilizowahi...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Yani NBAA wamewakabidhi matokeo tangu tarehe 23 mwezi huu, wenyewe mpaka leo hawajayatangaza, wanasubiri nin kama sio uchakachuzi tu unafanyika huko?
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimewasikia wabunge wakilalamika kuwa limefanyika kosa kubwa Sana zoezi la usaili kukabidhiwa kwa NBAA kwa ajili ya kuendesha zoezi Hilo badala ya kuendeshwa na Utumishi kama ilivyokuwa kwa ajira...
13 Reactions
66 Replies
5K Views
Back
Top Bottom