Habarini wakuu.Wanahitajika vijana kwa ajili ya kuunganisha maduka na huduma ya YAS RUSHA
Malipo ni kwa Kamisheni
Location ni Dar es Salaaam
Tuma meseji /piga namba 0718134925 kupata maelekezo...
Habarini wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu nina diploma ya IT na degree ya multimedia ninauzoefu wakufany graphics designing, photographer and videographer pia...
Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe...
Wakuu heri ya jumapili.
Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi...
Habari wana jamvi.
Jiji la daslamu limejaa shughuli nyingi kuanzia viwanda vidogo mpk vikubwa, makampuni, mashirika na hata michongo midogomidogo.
Kutokana na uwejezaji huo kwenye sekta...
Ndugu naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu wa practical za kada ya ICT. (Kwenye duties and responsibilities nyingi ni kuhusu maintanance and repair).
Naomba kujua maswali yanakujaje na mda...
Wakuu
Baada ya kufanya mtihani wa tax management officer ii kuna watu walisambaza ule mtihani ukiwa na majibu yake kutoka chatgpt.
Binafsi niliyapitia yale majibu na kujisahihishia mwenyewe...
Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025...
Habari,
Naitwa Mohamed ni driver wa tax mtandao….nipo darslam natafuta gari ya kufanyia kazi hii, hivyo kwa yeyote mwenye chombo basi ni fursa hii tuitumie kujenga hii nchi…
“Kuhusu uaminifu ni...
Tuongee mchongo wa freelancing kwa graduate: Kama umemaliza chuo na huna kazi
Kama umemaliza chuo na huna kazi
Unaweza kuanza kufanya freelancing na kupata wateja au kazi kwa kutumia elimu yako...
Habari za mda huu waungwana mimi ni mkufunzi wa kujitolea katika moja ya chuo hapa mjini kwa mda wa mchana hivyo natafuta kazi ya kuniingizia kipato mda wa usiku ili kubalance maslah madogo...
Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo.
Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.