Habarini wakuu.
Nimekuwa nikija humu kuomba hizi nafasi za kujitolea upande Wa IT. wakuu natamani niwe expert Wa computers networking installation and configuration lakini bado sijapata nafasi...
Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
Mimi ni binti wa miaka 24, nina degree ya Information systems Management. Natafuta kazi nina ujuzi wa computer (word, power point na excel). Mchapakazi, msikivu na ninaependa kujifunza. Utanipata...
Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designer
Lakini pia nanvyo vifaa vyangu mwenyewe tayari kwa kazi Nina camera, na vifaa...
Napenda kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo...
Wakuu,
Kwa wale mliopo makazini, hasa upande wa system admin and networking, naombeni interview questions based on the real world scenario and application.
Kama unaweza kunisaidia na practical...
Ningependa kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu...
"Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano
Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
Job alert: Graphics Designer
Intern position at Idea Grows Idea
Consult! social media+web +design.
Remote option available. Send CV and portfolio to careers@ideagrowsidea.tz
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Jinsia ni Me
Mkoa : Dar es salaam.
Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari
Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila...
Wakuu, wale walioitwa kwenye interview za ajira za MDA & LGA kupitia Ajira Portal, mbona wameweka mikoa bila kuweka venue ya kufanyia? Inamaanisha ukifika mkoa husika utafanyia wapi usaili? Kwa...
Habari wanajukwaa.
Naomba Kama unafanya kazi NSSF Geita njoo PM Kuna kitu ningependa nikuulize, au Kama unamfahamu anayefanya kazi hapo naomba uniunganishe naye.
Natanguliza shukrani.
Habari wana JFM
Mimi nikijana wa kitanzania,niko na uhitaji wa kazi yeyote iliyo halali.
Lakini pia nimesomea shahada ya Information Technology ,mwenye connection na kazi naomba anisaidie ...
Habari wanajamii forum samahan kama ntakuwa nje ya mada ila nilikuwa nahitaji msaada wenu mtu yeyote mwenye connection ya kazi aniambie elimu yangu ngazi ya Diploma ya manunuzi
Habari wana jf , mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nipo kahama mjini elimu yangu ni kidato cha nne , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya . namba yangu ni 0715308721
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.