Habari wanajamii forum,naomba kwa anaefahamu jinsi ya kupata fomu za kuomba kazi katika ujenzi wa hizi barabara za mwendokasi,anaefahamu naomba anielekeze wapi nazipata na utaratibu upoje,vitu...
Habari wana JF,
Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu.
Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma...
TAESA
Unataka kuifahamu taesa, basi jua kwamba ni agency iliyo chini ya ofisi ya wazir mkuu inayotoa nafasi ya ajira kwa graduates wa muda mfupi na mrefu, unaweza pia pata internship ya mwaka...
III
•l 4G 334'
POST YA KUOMBA SUPPORT
YA BIASHARA
Wapendwa,
Naitwa Mosses - kijana mdogo mwenye ndoto kubwa.
Ninajishughulisha na kazi ya finishing & interior decorations kwa ubunifu wa...
Habari
Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) na Loan offer wenye Uzoefu.
Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako.
Piga / Whatsapp 0754397178
Habari!!! sikukuu za Pasaka zimekaribia, kwa wale wote wenye safari mbalimbali ndani ya Dsm au nje yaani mikoani na wana usafiri BINAFSI wanahitaji dereva nipo kwa ajili yako, Mimi ni dereva...
Anahitajika dada au mkaka wa saloon anaejua kusuka mitindo yote vizuri, kufanya Makeup, kushonea weavings, kubond n.k
Kama Yupo tafadhali anichecki: Inbox
Eneo la kazi ni Makulu.
NB: Salon ni...
Nilipoanza kazi miaka 20 iliyopita (Katika Taasisi moja ya serikali jiji Dar), ushauri mkubwa niliopewa na wale niliowakuta kazini ni kujenga nyumba. Walisema ukifanya kazi baada ya miaka 20 walau...
Naomba kuuliza hili jambo miaka kadhaa imepita watu waliwahi kuuliza connection za kupata ajira za kusafirisha magari nchi jirani maarufu kama IT lakini hakuna mrejesho je ni kwamba hizi kazi...
Habari wapendwa hvi Kuna tetes Gani kuhusu kazi zinazohusisha HATA wenye vyeti vya ualimu maana nimejiandaa kwelkwel nifike oral tu kweny interview ya kazi yeyote harafu uko MBELE namuachia mganga...
Nilipata ajira ya mkataba pale halmashauri ya ubungo,toka tarehe 9 mwezi wa 4 ndio mchakato ulikamilika ,
Hadi sasa kimya hatujapigiwa simu za kupewa orientation/semina na kuanza kazi
Je Huwa...
TAARIFA YA UTAFUTAJI WA BAJAJI YA MKATABA (Ubungo na Maeneo ya Jirani)
Ndugu mpendwa,
Natumai ujumbe huu unakufikia ukiwa katika afya njema na shughuli zako zikiendelea vyema. Kwa heshima na...
Habari zetu wakubwa.
Mimi nipo Naishi Dar es salaam.
Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka.
Naweza kuendesha Manual na Automatic.
Lessen yangu ni...
Habari wakuu,
Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika.
Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa...
Wakuu mambo vipi? Naomba mwenye kufahamu anisaidie, hivi ile online portal ya TAESA bado iko active? Maana ni muda mrefu sana kila nikiingia kwenye site yao naona inagoma hasa kwenye kufanya...
Habarini wakuu.Wanahitajika vijana kwa ajili ya kuunganisha maduka na huduma ya YAS RUSHA
Malipo ni kwa Kamisheni
Location ni Dar es Salaaam
Tuma meseji /piga namba 0718134925 kupata maelekezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.