Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya...
Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wew wowote kwa Sababu kulinda kuzuia Mamluki Tofauuti na Idara na majeshi Mengine
Ni zipi stahiki anazopaswa kupewa mtumishi wa mkataba wa ajira ya mwaka 1 na ambae amebakiza miezi 3 mkataba wake uishe,pindi anapo hamishwa kutoka kituo chake cha kazi kwenda kituo kingine?
Salaam Wakuu,
Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada...
Wakuu habari,
Dogo aliomba nafasi za tutor chuo cha sukari general agriculture sasa tumetwa oral na kwenye ajira portal inaonesha oral n kufanyie DODOMA kwenye ofisi za Sekratariat lakini tena...
Vijana mliosomea hospitality na mna experience ya at least 3+, changamkieni hii fursa mpate new experience internationally. Is of 1 year contract job kuhudumia na kufanya kazi zingine ndani ya...
I am Winfrida holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource...
Mambo vipi wakuu?
Wakuu naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu, kuna ajira zilitangazwa na Sekretarieti ya Ajira na usaili wake yaani written interview ni tar.19 mwezi huu.
Sasa huu usahili ni...
Niaje wadau.
Hivi unaweza kuajiriwa tena kama ulikuwa umeachishwa kazi serikalini. Kwa maana kufukuzwa au hata pengine kuacha mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.