MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,225
- 3,146
Jamani habari za muda huu.. leo kijana wangu alikuwa kufanya usaili wa kuandika chakusikitisha zaidi kaludi analia anasema kama ndo utungaji huu basi kupata kazi ni kazi.
Nikamuuliza, kwani mtihani ulikuwaje?akasema, "haufai hata kuelezea, kama tumeludi darasani vile nikajua huyu kishafeli..Mliofanya hilo paper nikweli lilikuwa nondo maana kijana wangu pia ni genius.