Maswali ya usaili waliotajwa TFDA

Mbute na chai

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
523
525
Tafadhali rejea kichwa cha habari naomba kuuliza ni aina gani ya mitihani hutolewa na Secretariat ya utumishi wa umma kwenye interview ya mchujo? kama kuna watu waliofanya interview ya hivi karibuni; TFDA, TBS; wakishiriki nasi uzoofu utakuwa msaada mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TFDA
1. Research is relevant to your proffesional?
2. Relationship between food safety and food Quality.
3. Differenciate Quality Assurance and Quality Control.
4. ....................

Naweza kuwa nimesahau baadhi ya maneno ila Logic ya Maswali ni hiyo.

asante
 
Mungu akubariki na namini utashinda hiyo mitihani. Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom