Kwako atakwambia yupo bize hana muda, ila ukweli ni kwamba yupo sehemu na mtu mwingine akipoteza muda.
Wakati wewe unapambana kuboresha penzi lako, yupo mtu anarekebisha mazingira yatayomvutia...
Nilikutana naye kwenye usafiri wa umma mida ya night ya siku X. Baada ya kumrushia voko alielewa, basi ndo ukawa mwanzo wa mahusiano
Kesho yake nilimuomba tukutane kwenye Bar X ili tupoze makoo...
Ili mwanamke awe na mnato anatakiwa awe anawekwa sana na mume wake, akishawekwa ndo ule mnato unajileta wenyewe. Sasa kuna wanawake wengine wakavu kwasababu kile kizazi kimekauka maji, mjitahidi...
Unakuta kuna kupishana kidogo mke anakimbilia kukunyima haki yako ya ndoa.
Sasa najiuliza Je Kutunyima
1.Tuteseke
2.Tutubu
3.Tukome
Anyway ni hivi mimi nanyimwa hii siku ya 23 nahisi ntamaliza...
Aisee inasikitisha ile mizoga iliyozoea naipa 15000 leo hii inanipigia simu kulia njaa yaani anakwambia kabisa nitumie hata buku 3 ninunue chakula na sio mwanamke mmoja karibia wanne aisee kweli...
Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako.
Chumba cha pili ndo...
Naandika hii hoja nikitafuta majibu yakinifu na ya msingi kutoka kwa wanawake pia wanaume wenye majibu sahihi uzi wangu nimeuliza wanawake wanataka nini?
Maana nimeangalia katika hili...
Kuna swali hapa nimeulizwa
Money Penny, eti mwanaume wa ngapi kuzaliwa ni mzuri na utainjoi ndao ukiolewa nae?
Mwanaume wa Kwanza kuzaliwa?
Mwanaume wa Mwisho kuzaliwa?
Mwanaume wa nne...
Jf a place were we dare to talk open.
Wakuu niaje I hope mko gud kabsa.
Leo ni wakumbushe wanawake ambao wakishaolewa na kuzaa wanajisahau hawajitunzi tena kama before kabla hawajaolewa...
Huyu jamaa yangu ni mtu wa totoz sana na gambe kimtindo.
Akishakunywa tu atafanya kila namna kuhakikisha anapata demu na kwenda kulala nae
Sasa katika harakati zake za kula mbususu kakutana na...
()
Nafasi wazi hapo juu inasimama badala ya salamu.
Haiwezekani, haiwezekani, haiwezekani!
Biologically, mwanaume mwenye hormones nyingi za kiume huwa anakuwa masculine. Masculinity inaanzia...
Habari wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza Mapenzi ni hisia na hisia zenyewe ndio zinatengeneza kitu kinaitwa UPENDO.
Mimi nimewahi kuwa kwenye mahusiano kadhaa wa kadhaa nimewahi kuwa...
Wasalaam nyote,
Karne hii binadamu wehu wanetamalaki, hawajui kusudi lao la kuishi, hawajui wajibu wao wa msingi katika kuishi furaha na amani.
Wanawake wanaimba kufikishwa what a shame...
Wanawake wanapenda kuwa michepuko ya waume za watu kwa sababu wanaamini mme wa mtu mchana yupo kazini usiku yuko nyumbani hivyo ana muda mchache wa kufanya uzinzi maana lazima kila siku arudi...
Shikamooni wanawake, hakika tumeshindwa namna gani tutafanya ili kuishi nanyi kwa akili
Nilimtongoza huyu mwanamke pasi na kujua. Ili nimpate haraka nikaingilia gia ya kutaka kumuoa. Akaamua...
Hii ni stori ya ukweli iliyo tokea nchini Tanzania, jijini Arusha mnamo mwaka 2021, mwezi wa septemba ( 9 ) tarehe Kama ya leo 09.
usiku wa saa 7, mwanadada mrembo aliye amua kujiua mwenyewe...
Wakuu nina hoja ya kuwashirikisha,
Nina mchepuko na kama utapitia thread au michango kwenye thread za watu nazochangia utagundua nipo na ukweli
Ipo hivi mchepuko kabeba mimba ila kubeba mimba...
Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake.
Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX.
Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na...
Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.
Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka...