Je, nitakuwa sahihi wanaume wenzangu?

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
842
1,743
Wakuu nina hoja ya kuwashirikisha,

Nina mchepuko na kama utapitia thread au michango kwenye thread za watu nazochangia utagundua nipo na ukweli

Ipo hivi mchepuko kabeba mimba ila kubeba mimba sio tatizo nataka kutompoteza mtoto nilichopanga ni kukwepa lawama kutoka kwa mtoto kuwa nilimkataa

Nataka kuandikisha jina la mtoto upande wa mama ili mtoto means atumie jina la baba na babu wa mama yangu mzazi

Je, nitakuwa sahihi wanaume wenzangu
 
Mwandikishe jina langu, Bujibuji Simba Nyamaume
 
Si bora tu umwache kama ni hivyo 🤨🤨...halafu wanawake sijui tunafeli wapi, unakubalije kuzaa na mwanaume wa mtu😬😬
Ya Ngoswe tumuachie Ngoswe, mapenzi ya wizi matam bwanaa acha kabisa hua kama yana kachachandu kamuwasho ka mbali katamuu.. kwenye game pale mtu anataka kuchomoa unamng'ang'ania kiuno si unajua zenu zilee 😂
 
Hatakama, ndo hadi mzae na mtoto sasa🧐
 
Back
Top Bottom